sualogo

Mtandao wa Ushauri kwa Wakulima

(MUWA)Mtandao wa ushauri kwa wakulima (MUWA) hukupa vitabu na majarida kwa kina kulingana na tatizo ulilonalo kurahisisha kupata majibu yako kiurahisi,Vitabu hivi vimewekwa na wataaamu wetu wanaosaidi wakulima kutatua matatizo yao ya kilimo,Tafuta vitabu hivyo kwa kuandika swali kutokana na tatizo lako.

Pata vitabu na majarida yetu kwa kina kulingana na tatizo ulilonalo kurahisisha kupata majibu yako kiurahisi,Bofya jina la kitabu kupata kitabu.


  • Uzalishaji bora wa mahindi
  • Maelezo ya msingi kuhusu mpunga
  • Miti ya matunda
  • Ufugaji wa nyuki
  • Kilimo cha bustani
  • Kilimo shadidi cha mpunga