sualogo

Mtandao wa Ushauri kwa Wakulima

(MUWA)Karibu kwenye maswali mbalimbali yaliyoulizwa na kujibiwa

Na.
Swali
Jibu
Mtaalamu aliyejibu
Siku lilipojibiwa
Na.
Swali
Jibu
Mtaalamu aliyejibu
Siku lilipojibiwa
1 Habari, naweza kupata ngombe wa kisasa wa maziwa? Ndiyo Samson Msangi 2017-05-18
2 Nashukuru Natumai kupata msaada kutoka kwenu asante, wataalamu watakujibu swali Lako. Uvute subira C A S 2017-05-12
3 Habari za Asubuhi mwandishi Mm ni mfugaji wa bata na nna vifaranga wa bata lakini wanakufa sana mida ya usiku Yaani asu buhi ndio nna wakuta wamekufa na wameku nja shingo. Tatizo linaweza likawa ni nini na chanjo nliwapa wakati wametotolewa. Asante UGONJWA WA GUMBORO. Samson Msangi 2017-05-12
4 Habar jamani mbona sipat msaada tunatafuta jibu uwe na subira C A S 2017-05-10
5 Nashukuru nataka kulima ifakara sehemu inaitwa mgeta karibu Ushaurikilimo C A S 2017-05-10
6 Habar za huko jaman Mimi naitwa zakaria miwa nataka kujiunga na kilimo cha vitu nguu maji na migomba naomba mnitumie th read kama zipo au vitabu ktk email zymiwa@gmail.com tembelea www.ushaurikilimo.org kisha pakua vijitabu C A S 2017-05-11
7 Naomba kujua chanjo ya ndui ya kuku utumika muda gani?Pili baada ya kuitumia unaweza kuifadhiwa Mwaka mmoja,pia huweza kuhifadhiwa kwa kipindi kifupi. Samson Msangi 2017-05-11
8 MBEZI VETERINARY SERVICE LTD Inapenda kuwatakia mapunziko mema na sikukuu njema ya muungano kwaniaba ya Timu ya office na mkurugenzi Dr.Eliud mutakyawa tunapenda kupokea maoni yenu juu ya huduma zetu. karibu kwa Ushaurikilimo. Tunatoa Ushauri WA kilimo na mifugo bure kwa njia ya SMS C A S 2017-04-28
9 Asante ingawa sijakupata kinachoendelea naomba uwe na subira kwani wataalamu wanatafuta majibu C A S 2017-04-28
10 Hbr naomba msaada WA kupata nyuki wadog o wanapatikana porini kwenye magome ya miti. Husna Josinga 2017-05-13
11 Habari Za Leo Mm Omary Mhando magomeni Nimelima Alizeti Inakaribia Urefu Wa Futi 2 Naona Baadhi Ya Miche Vitumba Vya Kati Vinajikunja Kama Ukoma Ni Ugonjwa Gani Na Nini Dawa Yake malanyingi kwa dalili hiyo huwa ni downy mildew na dawa yake ni Ridomil ni yakupulizia kwenye mimea na metalaxy huwekwa kwenye mbegu kabla ya kupanda, ila ni bora umuone mtaam aliye karibu ili angalie dalili nyingine kwa ukalibu zaidi. Awadh Dizamile 2017-04-19
12 HABARI ZA KAZI MM NAITWA FADHILA NI MKAZI WA CHALINZE NIMELIMA MAHINDI LAKINI YANASHAMBULIWA NA WADUDU.WANAKULA SEHEMU YA JUU ILIYO TEKE KISHA MHINDI KUDONDOKA MPAKA SASA SINA UEUMBUZI NIJULISHENI DAWA TAFUTA DAWA YA WADUDU IITWAYO THUNDER KUTOKA KAMPUNI YA BAYER. Samson Msangi 2017-04-19
13 Habari, mimi ni mkazi wa chalinze pwani, tumepata tatizo ka tika kilimo cha mahindi kwa msimu huu.Ni kwamba mahindi yam eota then wametokea wadudu ambao wanakula sehemu ya juu ile teketeke na hatimaye Hindi kudondoka.paka sasa hatujapata ufumbuzi wa haraka wa dawa ya kutumia kudhibiti tatizo hili.ntashukuru sana kwa msaada mtakaotupatia kutatua tatizo hilo.asante Nenda duka la pembejeo kanunue systematic insecticide. Husna Josinga 2017-05-05
14 Habari, mimi ni mkazi wa chalinze pwani, tumepata tatizo ka tika kilimo cha mahindi kwa msimu huu.Ni kwamba mahindi yam eota then wametokea wadudu ambao wanakula sehemu ya juu ile teketeke na hatimaye Hindi kudondoka.paka sasa hatujapata ufumbuzi wa haraka wa dawa ya kutumia kudhibiti tatizo hili.ntashukuru sana kwa msaada mtakaotupatia kutatua tatizo hilo.asante kama ni wadudu wanaoshambulia sehemu ya katikati inayozalisha majani mapya tafuta dawa inaitwa Endosulfan utaweka sehemu ya katikati ya mhindi Awadh Dizamile 2017-04-14
15 Habari, mimi ni mkazi wa chalinze pwani, tumepata tatizo ka tika kilimo cha mahindi kwa msimu huu.Ni kwamba mahindi yam eota then wametokea wadudu ambao wanakula sehemu ya juu ile teketeke na hatimaye Hindi kudondoka.paka sasa hatujapata ufumbuzi wa haraka wa dawa ya kutumia kudhibiti tatizo hili.ntashukuru sana kwa msaada mtakaotupatia kutatua tatizo hilo.asante Tafuta dawa ya wadudu iitwayo thunder. Samson Msangi 2017-04-13
16 Ni miezi gani bamia inakuwa na bei nzuri sokoni MWEZI WA 7,8,9,10. Samson Msangi 2017-04-13
17 Nimelima Ufuta Uzaaji Wake Sio Mzur Ni Mbegu Gan Ya Ufuta Uzaa Sana, Mkwatan LINDI Samson Msangi 2017-04-12
18 Heka Moja Ya Matikit Hutoa Tikit Ngapi? Tikiti 500-1000 Samson Msangi 2017-04-12
19 Pia Naomba Maelekezo Juu Ya Madawa Ya M atikit Kuanzia Yanapoota Mpaka Tunda Linapokua Tayari .Mkwatan Dawa muhimu kama vile za wadudu,ukungu. Samson Msangi 2017-04-11
20 Mvua Zinazoendelea Kunyesha Nyanya Yangu Majan Yamejikunja Je Nipige Dawa Gan? Mkwatan Dawa aina ya thunder. Samson Msangi 2017-04-11