sualogo

Mtandao wa Ushauri kwa Wakulima

(MUWA)
Mtandao wa ushauri kwa wakulima (MUWA) unawawezesha wakulima kupata ushauri katika mambo mbalimbali yanayohusu kilimo kama vile ukulima, uvunaji, ufugaji wa wanyama, utuzaji wa misitu, maendeleo ya jamii, masoko na msaada wa kiuchumi katika kuendeleza kilimo. Unaweza kupata ushauri huo kwa kuandika swali lako hapa chini