MUWA - Nyumbani
      sualogo

Mtandao wa Ushauri kwa Wakulima

(MUWA)
Mtandao wa ushauri kwa wakulima (MUWA), unawawezesha wakulima kupata ushauri katika masuala mbalimbali yanayohusu kilimo kama vile ukulima, ufugaji wa wanyama, utunzaji wa misitu, maendeleo ya jamii, masoko na msaada wa kiuchumi katika kuendeleza kilimo.

MUWA huwawezesha wakulima:-

 • Kuwasilisha matatizo yao kwa wataalam wa kilimo
 • Kupokea suluisho la matatizo toka kwa watalam wa kilimo
 • Pia, Kupokea elimu na ushauri

Uliza Swali » Tafuta Jibu »

Tafuta teknolojia mbali mbali na mbinu bora za uzalishaji wa mazao, misitu, mifugo, uvuvi, utafutaji wa masoko na mengineyo.Baadhi ya teknolojia na mbinu hizi husaidia katika kukabiliana na mabadiliko ya hali ya hewa

Teknologia na mbinu zetu :-

 • Zimejaribiwa na kutumiwa na wazalishaji wadogo wadogo kwa mafanikio makubwa.
 • Ni rahisi kutumia
 • Huongeza uzalishaji ulio endelevu

MUWA kupitia wataalamu inakupasha habari mbalimbali kuhusu shughuli za kilimo.

Katika sehemu hii:-

 • Unaweza kupata mambo yaliojiri katika shughuli mbalimbali za kilimo.
 • Pia unaweza kujifuza teknolojia na mbinu bora za kilimo.

Zaidi »

MUWA kupitia wataalamu wake imetengeneza programu ya simu aina za Android ili uweze kutumia huduma ya ushaurikilimo wakati wote hata kama hakuna MTANDAO. Ukishapakua basi unapaswa uiguse/uibonyeze programu hiyo kama unavyobonyeza nyimbo uliyopakua mtandaoni. Simu yako itakuuliza "Do you want to install this app?" kisha jibu "Install/Yes". Baada ya sekunde mbili itakuwa imeingia kwenye simu yako na unaweza kuanza kuitumia na kufurahia huduma ya programu hiyo

Kupitia uKilimo APP:-

 • Unaweza kujifuza maswali na majibu ili kukuwezesha kujua mbinu bora za kilimo
 • Unaweza kutafuta habari ile ambayo unapenda kuona wakati huo.
 • Unaweza kupata mambo yaliojiri katika shughuli mbalimbali za kilimo.
 • Pia unaweza kujifuza teknolojia na mbinu bora za kilimo.

Pakua »

Jina la Mtumiaji Neno la Siri